mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Push ups zimeshamshinda tena! Hilo goti lilipaswa kupigwa na mama Samia. Veggies mnalo mwaka huu.
Dah mambo magumu jamani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mambo magumu jamani!
Kofia za wakubwa huzioni,
Kama ni kusomba watu Yale magari ya matangazo ya chadema yanapita mtaani kufanya nini?View attachment 1584649View attachment 1584650
kwa muda mrefu waTZ tulikua tunasemaNa bado mpaka atataja walipo Ben Saanane , Azory Gwanda , Simon Kanguye na wote aliowapoteza .
Dah mambo magumuKweli Mheshimiwa !Mbona sasa mnatuchanganya jamani? Hii ni video fake, si kweli. Huyo aliyepiga magoti siye JPM, acheni kumzushia bulldozer. Kwanza, huyo hajapiga magoti. Mkitaga kushuhudia upigaji wa Magoti ukoje, subirini siku wanaingia Kawe kumnadi yule tapeli Gwajima. Siku hiyo labda mtashuhudia jinsi magoti halisi yanavyopigwa. Huyu alikuwa anajiandaa tu kupiga push up akajichanganya kidogo baada ya kunong'onezewa muziki wa Karatu.
Ishu ndogo sana.Dah mambo magumu jamani!
Huku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552
Si alisema yeye Jiwe kwelilweli???? Kiko wapi daadekiiiiMagu akitangazwa mshindi mtakuja kulia mnaibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnakejeli
Ameanza lini unyeyekevu?Acha ujuha kupiga magoti ni ishara ya unyenyekevu na uzalendo
Dkt. Magufuli ni mnyenyekevu mbele ya watanzania,anatuheshimu na anatupenda.
Hatishwi na siasa zenu zisizo na nidhamu
Jiachie tu bro usije ukajamba bure mbele ya kadamnasi😂😂Najizuia kucheka nashindwa kabisa..nimejaribu mara 3 nzima
Najizuia kucheka nashindwa kabisa..nimejaribu mara 3 nzima
Kwako na baadhi ya wanachadema ni aibu...lakini unyenyekevu baada ya kufanya hivyo ndio utakaompa kura nyingi kwa mamilioni...
Hiyo miradi ukiacha ule wa SGR ni white Elephant, subiri atoke madarakani baada ya tarehe 28 October 2020 au baada ya 2025 utajua uchafu wa hiyo miradi na ilivyotia hasara taifa hili wakati haina faida yoyote.
Subiri oktobaSi alisema yeye Jiwe kwelilweli???? Kiko wapi daadekiiii
Anachoshindwa kuona ni hao wanaomzunguka ni adui zake zaidi kuliko TL😂😂😂😂😂😂Pale maji yanapozidi unga! Lissu the GREATEST si wa mchezo mchezo.