Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

...
2533878_IMG_20200929_163924.jpeg
 
Nilijua yeye mwenyewe kaamua Kumbe kuna maombi yalikuwa yanapitishwa lakini ata kama angepiga kwa maamuzi yake bado hakuna shida maana aombwaye utukuzwa kwa kuwa yeye kwa wakati huo ndio mtoaji.
Maji yamezidi unga braza. Acha kujifariji
 
Chonde chonde. Halafu mwakani tukabomolewe nyumba zetu bila fidia. Hatudanganyiki
 
Angekiri kuibeba agenda ya Uhuru,haki na maendeleo na kuiishi ingesaidia.
Lissu aliposema safari hii tunamchapa kweli kweli nilikuwa najuwa utani,duuh huyu si ndio yule mzee aliyekuwa anawaambia akina mama wanataka kupanuliwa wapi,mwache anyookwe
 
Pumzi imekata huyo moto anaowasha TL aisee hapana.

Kiungwana atupishe tu dikteta hana nafas katika nchi hii ya kidemokrasia
 
Back
Top Bottom