USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Nenda na wewe upige magoti uone kama utapewa kuraRais John Magufuli ktk kipindi chote cha uongozi ametamka mara nyingi sana kwamba urais ni kazi ngumu (mateso) na kuomba tumuombee.
Cha ajabu ya Mwajabu, jana akiwa Njombe amepiga magoti akiomba kura ili aendelee kuwa rais.
Hivi ni kweli alikuwa anamaanisha kuwa kazi ya urais ni mateso? Kama ni mateso kwanini anapiga magoti kuomba mateso?