Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

An orgasm can be a triggering factor in rare cases of sudden cardiac death, particularly in individuals with underlying heart conditions or those taking certain medications.

The intense physical exertion of sexual activity, including the emotional component of orgasm, can elevate heart rate and blood pressure, potentially straining the cardiovascular system in vulnerable individuals.
 
Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za kifo hicho ambapo amesema mnamo June 8,2025 majira saa mbili usiku,Erasto (marehemu) alikuwa na mwanamke ambaye jina lake limehifadhiwa katika nyuma ya kulala wageni na wakati wakiendelea na tendo alizidiwa ghafla na kukimbizwa kituo cha afya Ilembula lakini alifikishwa akiwa tayari amepoteza maisha.

“Baada ya kufikishwa hospitali alitambulika amefariki dunia lakini awali alifika na mwanamke kwenye gesti inayoitwa Mwendavanu kwa lengo la kushiriki tendo la ndoa na kimsingi sisi hatuna taarifa kama alikuwa ametumia dawa hilo ni swala la kidaktari”amesema Kamanda Banga .

RPC Banga amesema kutokana na aina ya tukio Jeshi la Polisi haliwezi kumkamata mwanamke aliye kuwa pamoja na marehemu huyo kwasababu wanaume wengi pia kwenye ndoa wamekuwa wakipoteza maisha kwasababu hiyo hivyo hawawezi kumkamata mtu kwa kufanya mauaji kwa tendo hilo.

Hata hivyo Diwani wa kata ya Ilembula Hezron Myale amesema kupitia taarifa ya familia ambayo imetolewa wakati wa mazishi yaliyofanyika leo katika kijiji cha Ilembula imebainisha kuwa sababu ya kifo cha Erasto Kabupa ni tatizo la moyo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu.

View attachment 3363704

Source: Ayo Tv
Kiongozi amefia kwenye utamu, yaani ameumaliza mwendo ki style sana, wakati wengine wakifa Kwa maumivu makubwa kwenye ajali au hospital bed jamaa Anaondoka na Ile kitu moyo unapenda yaani Raha ya bao!
 
Hii kauli ina mushkeli mkubwa sana

RPC Banga amesema kutokana na aina ya tukio Jeshi la Polisi haliwezi kumkamata mwanamke aliye kuwa pamoja na marehemu huyo kwasababu wanaume wengi pia kwenye ndoa wamekuwa wakipoteza maisha kwasababu hiyo hivyo hawawezi kumkamata mtu kwa kufanya mauaji kwa tendo hilo.
Inautata sana yan wamehitimisha ni katumia madawa bila hata kumuhoji mwanamke.
 
YUpo mwingine alifia kwenye kifua cha bar maid wake,,,huko huko nyanda za juu
Na yule bodaboda mume wa mtu alikufa kwenye hotel uchwara ya mama ntilie mke wa mtu,jamaa aliaga kwa mkewe anakesha akaenda kwa goma lake.

Waliinjika maharage ya kuuza asubuhi kwenye jiko la mkaa wakafunga mlango na dirisha wakapigana mbupu walipomaliza wakalala hawakuamka mpaka tunavyoongea hapa,ilikuwa ni hii hii Njombe nadhani baridi la huko linawawehusha akili.
 
Back
Top Bottom