Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

An orgasm can be a triggering factor in rare cases of sudden cardiac death, particularly in individuals with underlying heart conditions or those taking certain medications.

The intense physical exertion of sexual activity, including the emotional component of orgasm, can elevate heart rate and blood pressure, potentially straining the cardiovascular system in vulnerable individuals.
 
Kiongozi amefia kwenye utamu, yaani ameumaliza mwendo ki style sana, wakati wengine wakifa Kwa maumivu makubwa kwenye ajali au hospital bed jamaa Anaondoka na Ile kitu moyo unapenda yaani Raha ya bao!
 
Inautata sana yan wamehitimisha ni katumia madawa bila hata kumuhoji mwanamke.
 
YUpo mwingine alifia kwenye kifua cha bar maid wake,,,huko huko nyanda za juu
Na yule bodaboda mume wa mtu alikufa kwenye hotel uchwara ya mama ntilie mke wa mtu,jamaa aliaga kwa mkewe anakesha akaenda kwa goma lake.

Waliinjika maharage ya kuuza asubuhi kwenye jiko la mkaa wakafunga mlango na dirisha wakapigana mbupu walipomaliza wakalala hawakuamka mpaka tunavyoongea hapa,ilikuwa ni hii hii Njombe nadhani baridi la huko linawawehusha akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…