Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
CCM ni chama cha kishamba sana!ila ccm sasa kuvunja tatizo la maji ndo litaisha? si wakajenge maji maeneo mengine
Una hojakosa kubwa lilifanyika, nalo ni kumuumba mwafrika.
Nikishawaambia sumu ya CCM imeharibu taifa kwa kiwango kikubwa. Muafaka wanaukubali kwa sababu ni mbinu za kupata kuraTaarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe .
Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa .
Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza .
Mungu Ibariki Chadema
View attachment 2631845
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Jiwe ndiyo maji? Hata ukilichoma moto kama maji hamna hamna tu. Kijiji changu nnachotokea hata chadema hawajawahi kufika lakini maji hayajawahi kufika tangu uhuru! Ni upuuzi kuamini kwamba kuna mahusiano kati ya jiwe la msingi na ofisi. Hapo lumumba kuna ofisi nzuri nzuri tu lakini mbagala wanakunywa asante mpemba. Visima vya wapemba! Wewe ni mfu!Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe burundi.
Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Mfu ni wewe unayedhani matatizo yatamalizwa na Chadema + katiba mpya. Ukute na wewe unajiita msomi. Fakin kabhisa.Jiwe ndiyo maji? Hata ukilichoma moto kama maji hamna hamna tu. Kijiji changu nnachotokea hata chadema hawajawahi kufika lakini maji hayajawahi kufika tangu uhuru! Ni upuuzi kuamini kwamba kuna mahusiano kati ya jiwe la msingi na ofisi. Hapo lumumba kuna ofisi nzuri nzuri tu lakini mbagala wanakunywa asante mpemba. Visima vya wapemba! Wewe ni mfu!
Matatizo hayatamalizwa na Chadema lwakuwa siyo waliyoyaleta! Mtu aliyezaliwa 1992 anawezaje maloza matatizo ya tangu uhuru????Mfu ni wewe unayedhani matatizo yatamalizwa na chadema + katiba mpya. Ukute na wewe unajiita msomi. Fakin kabhisa.
Weka picha!Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe .
Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa .
Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza .
Mungu Ibariki Chadema
View attachment 2631845
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndio muwe mnajenga vitu vya maana sio mnaweka jiwe LA msingi LA hovyo wakati mamlaka husika zipo. Pia ishirikisheni serikali kwenye baadhi ya mambo sio kutaka political mileageMatatizo hayatamalozwa na chadema lwakuwa siyo waliyoyaleta! Mtu aliyezaliwa 1992 anawezaje maloza matatizo ya tangu uhuru????
Popoma lingine hili....Ndio muwe mnajenga vitu vya maana sio mnaweka jiwe LA msingi LA hovyo wakati mamlaka husika zipo. Pia ishirikisheni serikali kwenye baadhi ya mambo sio kutaka political mileage
Political milage hazijawahi kugeuka kuwa maji ya kunywa watu wanataka maji hayapo miaka 60 baada ya uhuruNdio muwe mnajenga vitu vya maana sio mnaweka jiwe LA msingi LA hovyo wakati mamlaka husika zipo. Pia ishirikisheni serikali kwenye baadhi ya mambo sio kutaka political mileage
Nilihis kuwa jambo ilo litatokea.Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe .
Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa .
Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza .
Mungu Ibariki Chadema
View attachment 2631845
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mfu ni wewe unayedhani matatizo yatamalizwa na chadema + katiba mpya. Ukute na wewe unajiita msomi. Fakin kabhisa.
Wewe usiye na akili hata kidogo, MUNGU aukumue Kwa haki akuhukumu kwa maneno Yako Aya .Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Popoma mattercle yako.Popoma lingine hili....