Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

Nilihis kuwa jambo ilo litatokea.
Nawa suspect SISIEMU
Hawa SISIEMU ndo wachawi wa maendeleo ya Tanzania, na ndo wanaleta siasa za chuki.
Na wanajisema wazi kuwa wao ndo wameshika Dora. Ntakuoa futari takatifu siku Hawa watu wakija kuondoka madarakani
Kila ubaya utalipwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Wewe usiye na akili hata kidogo, MUNGU aukumue Kwa haki akuhukumu kwa maneno Yako Aya .
Watu wametaabika, hawakuwa na maji, serikari unayoiaema inajenga miundo mbinu Bora ilikua kimya, Leo watu wamepambana Kwa kuunganisha nguvu zao, bado unaona waliovunja wako sahihi. Duuh
Amen

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Miradi ya maji inajengwa kwa fedha za serikali. Sasa chama cha upinzani hapo kinaingiaje kwenda kufungua mradi. Mbona sijaona nchi nzima CCM wanafungua mradi. Huwa wanawakilishwa tu.
Acheni kujitoa ufahamu.
 
Kama serikali
Political milage hazijawahi kugeuka kuwa maji ya kunywa watu wanataka maji hayapo miaka 60 baada ya uhuru
imeshindwa kufanya jambo fulani' la maendeleo Kwa wananchi sehemu fulani', basi sioni shida, wacha isaidiwe na mtu yoyote au kundi au na mtanzania yoyote, wenye moyo na sio kuleta ghadhabu au uadui, kama ule uliokuwepo ktk awamu ya 5 aiseee.,eti uliotokana tu, na tofauti za kiitikadi..... kaazi kwelikweli na bado tuna safari ndefu kama Taifa, kama kweli twataka maendeleo yenye tija.....
 
Kama serikali

imeshindwa kufanya jambo fulani' la maendeleo Kwa wananchi sehemu fulani', basi sioni shida, wacha isaidiwe na mtu yoyote au kundi au mtanzania yoyote, na sio kuleta ghadhabu au uadui, kama ule uliokuwepo ktk awamu ya 5 aiseee.,. kaazi kwelikweli.
Kuna madarasa na visima vingapi vimeandikwa " kwa hisani ya watu wa marekani" mbona havibomolewi? Wewe unasaidiwa mpaka vyumba vya kuhifadhia maiti na wamarekani unaona sawa ila wakifanya watz kwa watz wenzao unashupaza kiuno shabashhhh
 
Ndio muwe mnajenga vitu vya maana sio mnaweka jiwe LA msingi LA hovyo wakati mamlaka husika zipo. Pia ishirikisheni serikali kwenye baadhi ya mambo sio kutaka political mileage
Jiwe la msingi la hovyo linafananaje wewe? Kwani kuna standards za kuweka mawe ya msingi? Kwenye kutoa huduma za jamii jiwe la msingi ni kitu gani haswa? Acha ushamba na ulimbukeni wewe dunia inakucheka
 
Miradi ya maji inajengwa kwa fedha za serikali. Sasa chama cha upinzani hapo kinaingiaje kwenda kufungua mradi. Mbona sijaona nchi nzima CCM wanafungua mradi. Huwa wanawakilishwa tu.
Acheni kujitoa ufahamu.
Wewe hujui lolote kaa kimya tu. Kuna tofauti kubwa kati ya kujua na kufahamu
 
Eti limevunjwa, picha
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa.

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza.

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
picha iko wapi?
 
Shida ya nchi siasa ndio kila kitu. Sasa kama chama pinzani kimebuni mradi wa kuwasaidia watu kisha wakauzindua shida iko wapi? La msingi wananchi wamefaidika
 
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa.

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza.

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wapuuzi sana
 
Kwani kumbe siku izi chadema nao wanapenda kuzindua MIRADI ya maendeleo? Siku izi hawaiti VIMILADI
 
Miradi ya maji inajengwa kwa fedha za serikali. Sasa chama cha upinzani hapo kinaingiaje kwenda kufungua mradi. Mbona sijaona nchi nzima CCM wanafungua mradi. Huwa wanawakilishwa tu.
Acheni kujitoa ufahamu.
Huo mradi uliasisiwa na wanachadema..na hao ndio waliojipang na kuchangishana jombi.. na kushirikisha wanadau wwngine.so Hamna hela ya serikali Wala CCM.
 
Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Respect blood
 
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa.

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza.

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Tuzingatie Sheria ,Kuna utaratibu hata wa kuchimba kisima .Tufuate utaratibu
 
Back
Top Bottom