Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

Huwa natoaga tahadhari kwa Wananchi na watu wengine kuhusu Mamluki, na maharamia wa Nchi yetu pale ninapogandua Lugha wanazotumia. It is Gods given rights!

Sintoacha pamoja na matusi wanayokuja nayo. Nimedhamiria hivyo.

Hapa chini ni baadhi tu ya lugha maharamia hayo ambayo yanaisupport CHADEMA yanatumia...... sio kwa manufaa ya Wananchi wa Tanzania(mwafrika) ila kwa baadhi yao na wenye nia ovu, ya kuja kututawala. Yaani wanaoendekeza na kuendeleza Ukoloni mamboleo.
Vibaraka hawa hutumia mgongo wa CHADEMA(opposition to) kusambaza chuki zao dhidi ya Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla.
Narudia, Chadema wakipata DOLA wataanza kuangamiza Kabila la WASUKUMA na wakifanikiwa hao, wataendelea kuangamiza wengine....hebu fikiria mawazo ya wafadhili wao hapa chini....
Kosa kubwa lilifanyika, nalo ni kumuumba mwafrika.
Haya ni mawazo ya Ukimbari. Racist in nature and Bigoted on mind. Hawa ndio wafadhili wa CHADEMA.
Sitaki na wala siamini ni mawazo ya mwafrika. Na ikiwa ndivyo hivyo(ni mwafrika), ni Msaliti.
Una hoja

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mawazo hayo yanapewa uzito na Mtu ambaye kila kukicha anadai anaokoa maisha ya MTANZANIA halafu anaunga mkono hoja ya Ukimbari, ya kuangamiza. Kwa kudai ana hoja? ikiwa ana maana anaafiki na Kuangamizwa kwa Mtanzania.(mtu mweusi)
Akili ndogo ni akili ndogo tu...

Hii ndo ina symbolise tunaishi na jamii gani
Hapo juu wanaendeleza ukimbari wao, na wanahamaki, ati inawezekana vipi wakawa wanaishi na Watanzania! Kumbuka kule juu walishanena hawajapenda Mwenyezi Mungu kutuumba.

Nawaonyeni tu, CHADEMA itatumika kuangamiza Mwafrika.
 
Tuzingatie Sheria ,Kuna utaratibu hata wa kuchimba kisima .Tufuate utaratibu
Ndio maana hatutoboi kwa kufuata sheria na taratibu za kisenge. Kwani chadema sio watanzania? Kwenye kufanya mambo ya maendeleo, kubaniana kunatoka wapi kama sio uchawi
 
Hawa si ndiyo enzi za JPM walikuwa wanasema miradi ya aina hii ni maendeleo ya vitu,siyo ya watu.
 
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa.

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza.

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Mbona hatuoni jiwe lililojeruhiwa au kuuawa?
 
Wataalamu wa Ubora wa Maji na Jiwe la Msingi Pana uhusiano kweli?! CCM ni hamnazo milele...
 
FB_IMG_1684843116604.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hapo VEO na WEO wa Eneo hilo ajira shakani....CCM ni Ileile.
 

Hakika chama kongwe dola kimezeeka hadi kukosa kujua baya na zuri.

CCM watataka hadi 'wavunje' picha hii iliyobaki ktk mioyo ya wananchi wapenda Maendeleo ya Watu
1684848026323.png


1684847743593.png

Wana Njombe wamehangaika kwa kipindi kirefu na ahadi hewa za serikali.

Historia ya kukosa maji jimbo la Halmashauri ya Njombe mjini :

Historia ya kukosa maji jimbo la Halmashauri ya Njombe mjini ilifika hadi Dodoma kupitia Edward F. Mwalongo aliyekuwa mbunge kupitia CCM 2015-2020 katika bajeti ya 2019/2020 akiwa bungeni , aliomba bila mafanikio kwa Mheshimiwa Waziri mtusaidie wananchi wa Lugenge wapate maji. Miundombinu ya usambazaji na matenki ya Vijiji vya Lugenge, Kiyaula, Kisilo, Ihalula na Otalingolo yalishakamilika lakini miundombinu ya kuleta maji kutoka kwenye chanzo mpaka leo haijakamilika.
 
Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Yaani wee ni mku... Kweli yaani maji unataka uyafananishe na ofc??? Pumbavu kbs... Una akili za kishoga shoga sana wee nguruwe poli
 
Hawa si ndiyo enzi za JPM walikuwa wanasema miradi ya aina hii ni maendeleo ya vitu,siyo ya watu.
Hujui thamani ya MAJI kwa Binadamu kweli?! CCM ni chama cha Kigaidi tu kama Intarahamwe...Nenda hata FB kule hiki kitendo kimekera wengi
 
Akili za CCM na ukiona kimya jua wana baraka za uongozi wa juu.

Screenshot_20230523-190747.jpg
 
Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Wasio na akili wengi wana mawazo ya kishamba na ya kijinga kama yako wananchi wanahitaji huduma na sio visa vya kisiasa , unavunja mradi wa maji wa upinzani kwani watakao chota hayo maji ni upinzani peke yao ? au ni wananchi wote? ifike mahali tujifunze siasa safi na sio chuki
 
Miradi ya maji inajengwa kwa fedha za serikali. Sasa chama cha upinzani hapo kinaingiaje kwenda kufungua mradi. Mbona sijaona nchi nzima CCM wanafungua mradi. Huwa wanawakilishwa tu.
Acheni kujitoa ufahamu.
Mradi sio wa serikali ni wananchi wakishirikiana na CHADEMA uwe unaelewa na wewe.

Mbona kwenye miradi ya serikali huwa zinajaa kijani zinafuata nini pale kama ni miradi ya serikali?

Kuna mambo sio ya kushabikia maana mkiyashabikia mnatufanya tuone kwamba tumekabidhi nchi kwa chama ambacho watu watu wake ni wenye upeo mdogo wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom