Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Ushamba sana. Ccm wamejimilikisha hati miliki ya nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni mawazo ya Ukimbari. Racist in nature and Bigoted on mind. Hawa ndio wafadhili wa CHADEMA.Kosa kubwa lilifanyika, nalo ni kumuumba mwafrika.
Mawazo hayo yanapewa uzito na Mtu ambaye kila kukicha anadai anaokoa maisha ya MTANZANIA halafu anaunga mkono hoja ya Ukimbari, ya kuangamiza. Kwa kudai ana hoja? ikiwa ana maana anaafiki na Kuangamizwa kwa Mtanzania.(mtu mweusi)
Hapo juu wanaendeleza ukimbari wao, na wanahamaki, ati inawezekana vipi wakawa wanaishi na Watanzania! Kumbuka kule juu walishanena hawajapenda Mwenyezi Mungu kutuumba.Akili ndogo ni akili ndogo tu...
Hii ndo ina symbolise tunaishi na jamii gani
Ndio maana hatutoboi kwa kufuata sheria na taratibu za kisenge. Kwani chadema sio watanzania? Kwenye kufanya mambo ya maendeleo, kubaniana kunatoka wapi kama sio uchawiTuzingatie Sheria ,Kuna utaratibu hata wa kuchimba kisima .Tufuate utaratibu
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.
Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa.
Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza.
Mungu Ibariki Chadema
View attachment 2631845
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mboni sipaoni palipovunjwa hio picha ndio kabla au baada ya kuvunjwa maana haieleweki ?
Basi akazikwe pembeni yake pale awe anapata harufu ya funza wanaomtafuna mwendazakeWewe ulilogwa na mwendazake na bahati mbaya alishakufa kwa hiyo huponi tena.
Sasa kuanzia kutafuta Eneo,kuchimbwa na hatimaye kuzinduliwa Serikali haikuwepo?Tuzingatie Sheria ,Kuna utaratibu hata wa kuchimba kisima .Tufuate utaratibu
Yaani wee ni mku... Kweli yaani maji unataka uyafananishe na ofc??? Pumbavu kbs... Una akili za kishoga shoga sana wee nguruwe poliJengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Hujui thamani ya MAJI kwa Binadamu kweli?! CCM ni chama cha Kigaidi tu kama Intarahamwe...Nenda hata FB kule hiki kitendo kimekera wengiHawa si ndiyo enzi za JPM walikuwa wanasema miradi ya aina hii ni maendeleo ya vitu,siyo ya watu.
Afazali. Wasaliti wetu. Yuda, Savimbi, wanaona ni sawa mtu yeyote kufanya chochote Njini, pambafu.
Wasio na akili wengi wana mawazo ya kishamba na ya kijinga kama yako wananchi wanahitaji huduma na sio visa vya kisiasa , unavunja mradi wa maji wa upinzani kwani watakao chota hayo maji ni upinzani peke yao ? au ni wananchi wote? ifike mahali tujifunze siasa safi na sio chukiJengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Mradi sio wa serikali ni wananchi wakishirikiana na CHADEMA uwe unaelewa na wewe.Miradi ya maji inajengwa kwa fedha za serikali. Sasa chama cha upinzani hapo kinaingiaje kwenda kufungua mradi. Mbona sijaona nchi nzima CCM wanafungua mradi. Huwa wanawakilishwa tu.
Acheni kujitoa ufahamu.