Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

Hiki kizazi chetu sijui hata kina nini. Ni kama vile uzao wa 80 kuja juu ni kama kuna laana imepita.

Nawaza kama wazazi wetu na sisi wangekuwa na fikra na maamuzi kama ya kizazi hiki sijui hata kama wengi wetu tungezaliwa.
 
Huo Mkoa una watu wavuta bangi vibaya mno ndio shida hiyo.
 
Aisee hili ni tatizo kubwa sana!haya mambo yamehama tarime yamehamia Njombe!duuh!wenye watoto wa kike hapa sijui tutalindaje binti zetu wasiolewe na wapuuzi kama hawa!
 
....Hao hao majirani msaada pekee waliotoa ni kumpigia simu mwenyekiti?, na mwenyekiti hakuweza kufanya chochote zaid ya kuwapigia Polisi?...kungekuwa na watu makini huyu marehemu angeokolewa.....hapa wànaume wa Makete mmetuangusha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…