Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

Unadhani usingezaliwa kipi kingepungua?
usingepata fursa ya kuandika ulichoandika.

Najua dhamira yako ni shari lakini sitokupa hiyo faraja.

Uwe na siku njema ya amani ya nafsi.
 
Kwani ndoa zimekuwaje jamaniiii mbona tutaogopa kuingia sasa
 
Mkuu usibishane na asili, ni ukweli mtuptu wanawake wana midomo mirefu, ukibisha kwa hili "hongera" unathibitisha urefu wa midomo yenu lakini pia unathibitisha ufinyu wa hoja zenu.

SIUNGI MKONO mauaji yaliyotekelezwa na ndugu Kyando naamini kulikua na njia bora zaidi za kutatua mkwamo uliokua baina yao.


Yawezekana uko sahihi, maana hata wewe sijui umerithi huu mdomo kwa mama zako ama shangazi zako?
 
Je kwa juma kyando hili ndo tukio lake LA kwanza?..huwa napenda sana kujua historia za maisha ya hawa wanaotenda ukatili was dizaini hii..kama yule was kigoma alieua familia nzima ya mwanaume aliekuwa anatembea na mkewe
 
Back
Top Bottom