Njombe: Kijana aingia matatani kwa tuhuma za kunajisi ng'ombe

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Screenshot 2024-11-11 175228.png

Kijana Shadrack Utungulu mkazi wa kijiji cha Igominyi kata ya Yakobi halmashauri ya mji wa Njombe amejikuta matatani mara baada ya kukutwa akimshika chuchu na mkia ng'ombe asiye wake, na kuingia kwenye kashfa nzito ya kunajisi mnyama huyo.

Tukio hili linajiri wakati ambao kuna maelezo ya kijana huyo kuwa na historia kama hiyo hapo awali, ambapo alikutwa na tuhuma ya kunajisi ng'ombe, lakini aliweza kutafuta suluhu na mmiliki baada ya mama yake kulipa ng'ombe mwingine.

Faustine Mdendemi ni mmiliki wa ng'ombe aliyekuwa akishikwashikwa, anasema siku ya tukio alikuwa akitoka nyumbani kuelekea shambani na kumkuta akiwa kwenye zizi la ng'ombe.

"Nikamuuliza unafanya nini ndani? Nilijibiwa kwamba ninaomba tumalizane, nilivyomkamia alitoka bandani akanipiga kichwa na kuanza kunigalagaza chini huku akinikaba shingoni, nilivyokuta naelemewa nilisema yameisha niache, baada ya mimi kusema hivyo aliniachia nikapiga ‘ngolo’ ndipo watu wakaja kunisaidia", amesema Mdendemi.

Soma Pia: Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

Baadhi ya wananchi na wafugaji wa Igominyi wanasema kitendo kilichofanywa na kijana huyo kinawapa wasiwasi mkubwa kwa kuwa ana akili timamu lakini wanashangaa anayoyafanya huku wakihofia zaidi watoto wao kubakwa.

Thelesina Manga ni mtendaji wa kijiji cha Igominyi, anasema baada ya kumkamata kijana huyo, hatua inayofuata ni kumfikisha kituo cha polisi kwa kuwa jambo hilo lipo juu ya uwezo wake

"Hatua ninayochukua kwasababu lipo juu ya uwezo wangu mimi, ninampeleka Polisi kwa ajili ya hatua zaidi, wenzetu waende kufanya uchunguzi", amesema Thelesina Manga.
 
Ameshindwa hata kwenda kununua malaya...!!

Nimeishi hapo njombe miaka3 mfululizo, Toka hapo igominyi hadi Njombe town "Mtaa wa dhambi" nauli ni buku tu...

Wadadapoa wapo hata akiwa na buku5, Shida nini wakuu Wanafeli wapi?
 
Kijana Shadrack Utungulu mkazi wa kijiji cha Igominyi kata ya Yakobi halmashauri ya mji wa Njombe amejikuta matatani mara baada ya kukutwa akimshika chuchu na mkia ng'ombe asiye wake, na kuingia kwenye kashfa nzito ya kunajisi mnyama huyo.

Tukio hili linajiri wakati ambao kuna maelezo ya kijana huyo kuwa na historia kama hiyo hapo awali, ambapo alikutwa na tuhuma ya kunajisi ng'ombe, lakini aliweza kutafuta suluhu na mmiliki baada ya mama yake kulipa ng'ombe mwingine.

Faustine Mdendemi ni mmiliki wa ng'ombe aliyekuwa akishikwashikwa, anasema siku ya tukio alikuwa akitoka nyumbani kuelekea shambani na kumkuta akiwa kwenye zizi la ng'ombe.

"Nikamuuliza unafanya nini ndani? Nilijibiwa kwamba ninaomba tumalizane, nilivyomkamia alitoka bandani akanipiga kichwa na kuanza kunigalagaza chini huku akinikaba shingoni, nilivyokuta naelemewa nilisema yameisha niache, baada ya mimi kusema hivyo aliniachia nikapiga ‘ngolo’ ndipo watu wakaja kunisaidia", amesema Mdendemi.

Soma Pia: Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

Baadhi ya wananchi na wafugaji wa Igominyi wanasema kitendo kilichofanywa na kijana huyo kinawapa wasiwasi mkubwa kwa kuwa ana akili timamu lakini wanashangaa anayoyafanya huku wakihofia zaidi watoto wao kubakwa.

Thelesina Manga ni mtendaji wa kijiji cha Igominyi, anasema baada ya kumkamata kijana huyo, hatua inayofuata ni kumfikisha kituo cha polisi kwa kuwa jambo hilo lipo juu ya uwezo wake

"Hatua ninayochukua kwasababu lipo juu ya uwezo wangu mimi, ninampeleka Polisi kwa ajili ya hatua zaidi, wenzetu waende kufanya uchunguzi", amesema Thelesina Manga.
Afu kuna wale wanawake walio kataa watasema "bona hakuwaambia il wampe mbususu had anabaka"
 
anatafuta nguruwe.
Huyu kazidi. Ukweli mkuu jaribu kufanya tathimini tu mikoa ya wafugaji na isiyo ya wafugaji utangudua kuwa mwambao wa pwani kama tanga,dar pwani nk ushoga uko juu sababu hawakuwa na mbadala wa kubandua badala yake walikuwa wanabanduana wenyewe tu. na hii kuwapelekea kuzoea maisha yao yote.
 
Kipindi tukiwa na miaka 6-10 mbuzi tumewakula sana. Tulikuwa tukibahatika kuonwa ni stick tu kwisha habari.
umri huo kwa kweli sikula mnyama ila wenzangu walikuwa wanawatafuna sana tu ng'ombe, mbuzi, kondoo na kuku. Punda ndio alikuwa na kitu kinachofanana na cha binadamu ila ilikuwa ni ngumu kushughulikiwa kutokana na mateteke yake. Mtu anaona kwenda ku approach binadamu ni shughuli pevu kumpata, anaona wanyama ni bwerere. Ila kula wanyama si vema unaweza kupata magonjwa hatari
 
Utotoni utajua na mgonjwa Sasa? Kila aliyechunga lazima kapitapita kwanza. Vingine ni kuvunga tu. Biteko aliwahi ambiwa huko jimboni kuwa kipindi tunachunga ulikuwa unashughulika sana mbuzi umati ulicheka sana.
 
Kijana Shadrack Utungulu mkazi wa kijiji cha Igominyi kata ya Yakobi halmashauri ya mji wa Njombe amejikuta matatani mara baada ya kukutwa akimshika chuchu na mkia ng'ombe asiye wake, na kuingia kwenye kashfa nzito ya kunajisi mnyama huyo.

Tukio hili linajiri wakati ambao kuna maelezo ya kijana huyo kuwa na historia kama hiyo hapo awali, ambapo alikutwa na tuhuma ya kunajisi ng'ombe, lakini aliweza kutafuta suluhu na mmiliki baada ya mama yake kulipa ng'ombe mwingine.
Hivi hakuna kiongozi mkubwa anayeweza kurekebisha hali ya hewa ya huko mahali? Maana baridi la huko linasababisha majanga kila kukicha
 
Back
Top Bottom