Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Kijana...mbuzi anaingiaje kwa ma ex mkuu?
Ulivyokuwa na 6 hadi 10, umewagonga sana Mbuzi ( Mbuzi ndiyo walikuwa mademu zako).
Kwenye list ya ma ex zako, mbuzi lazima wawepo kwasababu uliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mbuzi.
Maneno yako ni haya
"Kipindi tukiwa na miaka 6-10 mbuzi tumewakula sana. Tulikuwa tukibahatika kuonwa ni stick tu kwisha habari."