Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Pesa bana unatafuta kwa shiiida
kumbe ndo kifo chako!!

Unajibana wee unanunua gari linabinuka linakuua

Unajibaana wee majambazi yanakuua

Unajibana wee ukizipata unaanza kula freshi sasa kumbe unatengeneza presha na sukari unakufa😂😂

Unajibaana wee ukiomba Mungu uzipate, ukizipata unajisahau na kusema hakuna mungu, unakufa 😂

Pesa hazieleweki toka enzi za kaka Yuda
Unapambana usiku na mchana baadae unapata pesa unaanza kutumia na pisi kali na mishangazi baadae wanakupa ukimwi unakufa.
Katika hii dunia ukiwa maskini tatizo na ukiwa tajiri pia tatizo.
 
Hapo wakamatwe wafa yakazi wake kwanza lazima watapata kianzio
Hapana wafanyakazi mtawaonea bure tu.
Matapeli na wezi wana njia nyingi sana za kukufuatilia na kujua kama uko na pesa njia mojawapo ni ya kujifanya wateja kisha wanakuja kukuchunguza mihamala unayopokea na cash unazopokea.
Wakishaona umekamata cash nyingi mkononi na mida ya usiku imeingia wanajua benki zimeshafungwa lazima utaenda nazo nyumbani.
 
Back
Top Bottom