Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Unapambana usiku na mchana baadae unapata pesa unaanza kutumia na pisi kali na mishangazi baadae wanakupa ukimwi unakufa.
Katika hii dunia ukiwa maskini tatizo na ukiwa tajiri pia tatizo.
 
Hapo wakamatwe wafa yakazi wake kwanza lazima watapata kianzio
Hapana wafanyakazi mtawaonea bure tu.
Matapeli na wezi wana njia nyingi sana za kukufuatilia na kujua kama uko na pesa njia mojawapo ni ya kujifanya wateja kisha wanakuja kukuchunguza mihamala unayopokea na cash unazopokea.
Wakishaona umekamata cash nyingi mkononi na mida ya usiku imeingia wanajua benki zimeshafungwa lazima utaenda nazo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…