Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

Aiseee, michezo hii ya watoto ni kutokana na kuangalia movie ambazo ziko abavu zeiya eji.....majumbani epusheni watoto kuangalia movie zenye visa kama susaidi au mapigano.
Mtoto wa ki Tz wa miaka 9 wanajua mpaka watoto wanavyopatikana. Hata kujichua nyeto wanajua. Wanajua Nani Ni shoga darasani kwao. Wewe waone tu wamekula pozi ukajiondoa ufahamu.
 
Mtoto wa ki Tz wa miaka 9 wanajua mpaka watoto wanavyopatikana. Hata kujichua nyeto wanajua. Wanajua Nani Ni shoga darasani kwao. Wewe waone tu wamekula pozi ukajiondoa ufahamu.
Inawezekana kwasababu kizazi hiki kina mengi, enzi zetu miaka hiyo unajua kuchunga mbuzi tu
 
watoto wanafanya kile wanachokiona, kuna mengi sana ya kuzingatia wakati wa malezi, nakumbuka wakati tunakuwa ilikiwa marufuku kuangalia movie za ngumi, siku hizi access imekuwa soft sana watoto wanaona kila kitu, hata mfano watoto wanacheza mchezo wa kibaba na kimama wanafanya yale wanayoona wazazi wao wanafanya usiku, utakuta wanasema tufanyw kama baba na mama wanakitanisha vikojoleo, hii mambo ya kulala single room na watoto, Mungu atuepushe
👊👊
 
Back
Top Bottom