Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Maelfu ya wafuasi wa chama cha mapinduzi pamoja na Makundi mbalimbali katika jamii wamefanya maandamano kwa kuridhika na uamuzi huo na kisha kuchangishana fedha kiasi cha Mil 2,060,000 zitakazotumika na viongozi hao kuchukua fomu za urais muda utakapofika.
Soma Pia:
Wakiweka wazi kilicho wasukuma kufanya maandamano ya amani na kisha kuchangishana fedha kwa ajili ya kumlipia fomu ya kugombea Urais wafuasi wa chama cha mapinduzi na wawakilishi wa makundi mbalimbali

- Watu wenye ulemavu wamchangia Rais Samia milioni 1 ya fomu ya kugombea Urais 2025
- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025