Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure

Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure

Chalamila ni muwazi sana, nadhani ndyo kinachomponza mara nyingi kwasababu ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa mkweli na ukafika mahali
 
Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone?
Na ukaamua kujiita macho mdiliko,ila sioni ajabu yawezekana hata ofisini kwenyewe hakai.
 
Huyu jamaa sio kiongozi mzuri maana ni mwongo na watanzania wengi wanapenda watu wa aina hii wale wanaosema ukweli hutuwataki kumbe kiongozi akisema ukweli ataonyesha tatizo lilipo ili litatuliwe.
Wekeni risiti hapa aumbuliwe sio mnapiga maneno tu.

Kwani mlilipa bila ya kupewa stakabadhi?
 
Back
Top Bottom