Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 494 Reaction score 856 Feb 4, 2025 #41 Chalamila ni muwazi sana, nadhani ndyo kinachomponza mara nyingi kwasababu ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa mkweli na ukafika mahali
Chalamila ni muwazi sana, nadhani ndyo kinachomponza mara nyingi kwasababu ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa mkweli na ukafika mahali
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,994 Reaction score 4,729 Feb 4, 2025 #42 macho_mdiliko said: Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone? Click to expand... Shangaa na wewe
macho_mdiliko said: Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone? Click to expand... Shangaa na wewe
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,994 Reaction score 4,729 Feb 4, 2025 #43 macho_mdiliko said: Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone? Click to expand... Na ukaamua kujiita macho mdiliko,ila sioni ajabu yawezekana hata ofisini kwenyewe hakai.
macho_mdiliko said: Hvi yule unamwona kichwani kuna kitu? Mtu ambaye waziri anaenda kwake kikazi anazuiwa na sijui hawara yake asimwone? Click to expand... Na ukaamua kujiita macho mdiliko,ila sioni ajabu yawezekana hata ofisini kwenyewe hakai.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Feb 4, 2025 #44 Siasa Ova
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Feb 4, 2025 #45 ChoiceVariable said: Ni kweli Huduma ni Bure au ni siasa tuu za kusagiana kunguni? Click to expand... At least Mwongozo wa Sera ya Afya ndiyo unavyoagiza!
ChoiceVariable said: Ni kweli Huduma ni Bure au ni siasa tuu za kusagiana kunguni? Click to expand... At least Mwongozo wa Sera ya Afya ndiyo unavyoagiza!
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,611 Reaction score 5,009 Feb 4, 2025 #46 much know said: Huyu jamaa sio kiongozi mzuri maana ni mwongo na watanzania wengi wanapenda watu wa aina hii wale wanaosema ukweli hutuwataki kumbe kiongozi akisema ukweli ataonyesha tatizo lilipo ili litatuliwe. Click to expand... Wekeni risiti hapa aumbuliwe sio mnapiga maneno tu. Kwani mlilipa bila ya kupewa stakabadhi?
much know said: Huyu jamaa sio kiongozi mzuri maana ni mwongo na watanzania wengi wanapenda watu wa aina hii wale wanaosema ukweli hutuwataki kumbe kiongozi akisema ukweli ataonyesha tatizo lilipo ili litatuliwe. Click to expand... Wekeni risiti hapa aumbuliwe sio mnapiga maneno tu. Kwani mlilipa bila ya kupewa stakabadhi?