Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

Ndio ulivyoongopewa hivyo, kwani ukiolewa kazi haziaplayiki au?
Kama nikiolewa basi si kwa lengo la kupunguza ugumu wa maisha.
Sina ajira rasmi,lakini pia sina maisha magumu.

Yaani nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaolewa kupunguza ugumu wa maisha,mbona wanaenda kujiongezea matatizo[emoji1787].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ajira hakuna, maisha lazima yaendelee. huwezi kusema nitaolewa nikipata ajira wakati hujui ajira utapata lini.
Anachomaanisha wahitimu wa vyuo wanaolewa bila kupenda kupunguza ugumu wa maisha hata kama moyo haujaridhia kuolewa na huyo mtu
 
Back
Top Bottom