Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Vya kupewa vina manyanyaso.Sawa ila sasa mie nataka nikuwowe uwe mama watoto sasa mbona kama itakuwa vizuri ntakupaga kaduka uuzege
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vya kupewa vina manyanyaso.Sawa ila sasa mie nataka nikuwowe uwe mama watoto sasa mbona kama itakuwa vizuri ntakupaga kaduka uuzege
Hali Ni mbaya Sana mtaani,Kuna mmoja alikuwa ananipanga ahamie kwangu [emoji28][emoji28]
Kila siku akawa anajisemesha "maisha magumu sana wengine tuolewage tu "..
Nikamzoom nikaona hamna kitu hapa, imagine mtu anakuja kwako kupunguza makali ya maisha.
[emoji28][emoji28]Hali Ni mbaya Sana mtaani,
Msaidie umsitiri mwenzio, mungu atakulipa mkuu[emoji4]
Zamani tulizoea mwanamke msomi hawezi kuolewa na mlala hoi.[emoji28][emoji28]
Hahahaaaa.......anataka mshee pamoja maumivu yake ya uchungu wa Maisha.Kuna mmoja alikuwa ananipanga ahamie kwangu [emoji28][emoji28]
Kila siku akawa anajisemesha "maisha magumu sana wengine tuolewage tu "..
Nikamzoom nikaona hamna kitu hapa, imagine mtu anakuja kwako kupunguza makali ya maisha.