Apo ndio ninapoanzaga kuona upuuzi wa mtu aliesoma ila hajaelimika,,, kwaiy unakutana na mwanamke kabisa kaenda shule eti anasema ameolewa et sababu mwanaume ataondoka ataleta chochote ili siku ziende hapo nd utagundua utofauti wa mwanaume na mwanamke. Alafu kozi ambazo zitamfanya mtu ajiajili inategemea na masomo aliyosoma.
Yan katika udhaifu mkubwa Sana katika elimu yetu ni kuwa ipo katika mfumo wa kutengeneza watu ambao watategemea ajila serikalini au sekta binafsi na sio kujiajili.
Kwahiyo ipo haja ya serikali kuliona ilo na kufumua mifumo ya kielimu na kuunda upya gharama itakuwepo ila kwa sababu ya ustawi wa jamii imara haina budi kufanya hivyo.