Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

Aisee,

Haya mambo miaka Fulani tumejifungia nyumba ndogo tukawasha moto na mafuta huku tumejifungia mama yuko chumbani ndio alituokoa mana lile jiko tulikua tumelelikata haswa na baridi ile.

Sijui ilikua vipi tulichomoka, Hapo tumesiz mama aka fungua mlango aisee dogo alikua kazima tayari mi nikambeba nikambwaga nje Huko mwagia maji sana jiko,ndo tukaanza kuongea kilichotokea.

Tungekufa kifo kibaya sana
 
Dah...haswaa....ndiyo muunguo usiokamilika....gesi ya ukaa inavunjwa oksijeni moja na kubaki moja....na ndiyo hiyo unayoita CO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Haemoglobin huungana na oxygen kwa asili, ikitokea carbon monoxide imezidi kwenye damu kunakua na competition kwenye binding site ya haemoglobin. Haemoglobin ikiungana na carbon monoxide inakua sumu moja mbaya sana
Kipi nilichokosea ktk maelezo yangu?
 

Dar kuna baridi?
 
Wangoni hao, ni sawa na mpogoro na mndamba

Mndendeule ni tofauti kabisa na Mngomi ila wakitoka nje ya mkoa wa Ruvuma hujihesabia/wanahesabiwa kama wangoni tu
 
Mwaka juzi wakati naishi Njombe, nyumba niliyokua nimepanga kuna Housegirl aliingiza ndani Kakijana Kake, Mama mwenye mtoto ni Kondakta kwahio siku hio Mama mwenye chumba walilala Makete, ndio Housegirl akaingiza MTU. Wakawasha na mkaa huku wako na mtoto mdogo (mtoto wa Boss wake)

Dah, sasa asubuhi Bibi mwenye nyumba anashangaa Housegirl haamki, bahati nzuri ile nyumba mpangaji mwingine alikua ni Nurse na siku hio alikua anaingia mchana. Baada ya kugonga mlango muda mrefu bila mafanikio wakafungua kwa nguvu.

Mungu mwema, wakawakuta wote wameanguka chini na wako taabani including kale katoto! Ila Housegirl na mchepuko wake wako naked!

Wakapata huduma ya kwanza wakazinduka. Njombe hapana aiseeee

Hata Mimi nilisurvive twice
 
Usiwalaumu, usikute hawajasoma hawa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…