Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
johnthebaptist mtoe elimu kwa ndugu zako kuhusu kulala na moto ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utajuaje kuwa kiwango hiki cha oxygen kinatosha kuzuia CO kuleta athari?Unapima vipi hiyo oxygen kujua kiwango hiki kinatosha?Huoni kuwa utakuwa unabeti maisha yako?Lakini kinachosababisha carbonmonoxide itengenezwe ni kiwango kidogo cha oxygen chumbani na kwakuwa CO ina high affinity to Hb inazuia oxygen kubind na Hb na ndipo shida inaanzia hapo. Ukilala na jiko la mkaa ndani lkn kuwepo hewa ya kutosha ndani CO haiwezi kutengenezwa.
ni mara ngapi tunalala na majiko ya mkaa adi asubuhi lakini hatufi?? maeneo mengi ya yenye baridi kali kuna nyumba nyingi tuu zina 'chimney / smokestacks', hivi ni vi chamber ambavyo huwa tunachoma magogo na kuni ili kupata joto ndani ya nyumba zetu lakini hatuja wahi sikia familia zime kufa, hatupaswi kuwa na majibu mepesi kwenye isuue zenye utata, uvivu tuu na shortcuts kwa wapelelezi wetu ndiyo maana wana conclude bila kufanya upelelezi wowote….Ushaambiwa wamelala na jiko la mkaa ndani! Kama ulikimbia pindi la kemia ukakimbilia kwa madem zako Art burudani huwezi elewa nini kimewakuta hawa watu!
Hio Chimney ina sehemu ya ku capture moshi huo!ni mara ngapi tunalala na majiko ya mkaa adi asubuhi lakini hatufi?? maeneo mengi ya yenye baridi kali kuna nyumba nyingi tuu zina 'chimney / smokestacks', hivi ni vi chamber ambavyo huwa tunachoma magogo na kuni ili kupata joto ndani ya nyumba zetu lakini hatuja wahi sikia familia zime kufa, hatupaswi kuwa na majibu mepesi kwenye isuue zenye utata, uvivu tuu na shortcuts kwa wapelelezi wetu ndiyo maana wana conclude bila kufanya upelelezi wowote….
Lakini ndio hivyo kinacho sababisha production ya CO ni inadequate supply of oxygen.Sasa utajuaje kuwa kiwango hiki cha oxygen kinatosha kuzuia CO kuleta athari?Unapima vipi hiyo oxygen kujua kiwango hiki kinatosha?Huoni kuwa utakuwa unabeti maisha yako?
Mimi kwenye hilo sijabisha na unachoongea ni fact ila kinachonipa shida ni kwamba nitapima vipi kujua chumba hiki kina oxygen ya kutosha ku-neutrilize CO ili nilale bila hofu na chumba kile hakina oxygen ya kutosha ili nikwepe kulala na jiko ndani.Lakini ndio hivyo kinacho sababisha production ya CO ni inadequate supply of oxygen.
Basi suluhu ni hili.Mimi kwenye hilo sijabisha na unachoongea ni fact ila kinachonipa shida ni kwamba nitapima vipi kujua chumba hiki kina oxygen ya kutosha ku-neutrilize CO ili nilale bila hofu na chumba kile hakina oxygen ya kutosha ili nikwepe kulala na jiko ndani.
Yaani nitajua vipi kuwa kwa ukubwa wa madirisha haya it is ok kulala na jiko ndani na kwa ukubwa wa madirisha yale hapana haifai kulala na jiko ndani?
Mimi logic yangu ni kwamba haya mambo ya sayansi huwa yanahitaji accurate scientific measurements ili uweze kuchukua maamuzi sahihi.Tofauti na hapo ni unabeti maisha yako.Basi suluhu ni hili.
Watu wanunue mablanketi makubwa wajifunike wajue tu kulala ndani na jiko la mkaa likiwaka ni hatari.
Kwahiyo kwenye situation kama hii unashauri nini?Mimi logic yangu ni kwamba haya mambo ya sayansi huwa yanahitaji accurate scientific measurements ili uweze kuchukua maamuzi sahihi.Tofauti na hapo ni unabeti maisha yako.
Kamwe usilale na jiko la mkaa ndani hata kama chumba chako kina madirisha makubwa kiasi gani kwa sababu hujui kama oxygen inayoingia kwenye chumba chako inatosha kuzuia jiko lako lisizalishe hewa ya COKwahiyo kwenye situation kama hii unashauri nini?
We nae emu tutokee hapa hamna alikukataza kwenda shule,hapa cha muhimu uliza kwamba inakuwaje wengine wanalala na majiko ndani lakini hawafi?ni mara ngapi tunalala na majiko ya mkaa adi asubuhi lakini hatufi?? maeneo mengi ya yenye baridi kali kuna nyumba nyingi tuu zina 'chimney / smokestacks', hivi ni vi chamber ambavyo huwa tunachoma magogo na kuni ili kupata joto ndani ya nyumba zetu lakini hatuja wahi sikia familia zime kufa, hatupaswi kuwa na majibu mepesi kwenye isuue zenye utata, uvivu tuu na shortcuts kwa wapelelezi wetu ndiyo maana wana conclude bila kufanya upelelezi wowote….
Sawa mzee wa chura umesomeka.Kamwe usilale na jiko la mkaa ndani hata kama chumba chako kina madirisha makubwa kiasi gani kwa sababu hujui kama oxygen inayoingia kwenye chumba chako inatosha kuzuia jiko lako lisizalishe hewa ya CO
Kwa nchi ile hata mkiwa 20 haiwezekani, nilishuhudia hiyo misibani kundi la watu wanalala chumba kimoja lakini mnaamka wafiwa 0 baridi 1Mkiwa watatu-wanne chumba kimoja mna generate heat wenyewe