Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

Umasikini tu kama kungekuwa na maendeleo ya kiuchumi basi angefunga system ambayo ni automatically inajiadjust yenyewe kutokana na hali ya hewa.

Ila ni umasikini na kukosa elimu.
 
Wali suffocate kwa sababu ya Carbon monoxide (CO) kutoka kwny huo mkaa

Duuh,
 
Mkuu wa mkoa, njia za kupambana na balidi si aina moja, ndo maana jamaa waliamua kutumia njia mbili kwa mpigo! Je unashauri itumike ile moja tu?
 
DADA: Dada Alikuwa anakwenda kwao kijijini, imefika jioni hana nauli,
Mpiga debe: Twende kwangu kesho nitakuombea kwa dereva wangu>
DADa: Sawa lakini usinitie.
Mpiga debe: Sitakutia.
Dada:sawa twende.
Walipofika nyumbani, dada akatangulia kuoga bafu la ne, si unajua nyumba za kupanga wapiga debe, chumba ch elf 15 kwa mwezi.
alipotoka kuoga kaka akampisha na yeye akaenda kuoga, wakaenda kula chips , wakarudi , WAKALA TUNDA LA MTI WA KATI , NA KA UBARIDI MPAKA MAJIRANI WALIKUWA WANASIKIA MIGUNO baadae wakaachina wakaenda kujifuta na wakawasha jiko ili saa 11 alfajiri wapeane MORNING GLORY-CHA ASUBUHI Mungu akawapenda zaidi, maana mkaa ni CARBON MONOXIDE , haufai kabisa, na unakufa taratiibu bila hata kutapa tapa.
Sasa mambo ya kama walitubu ama la mimi sijui.
 
Jinga wewe
 
Dada wa watu kwakwama nauli alikuwa na safari zake jamaa kaopoa wameelewana demu akalale kwa jamaa hadi kesho yake ndio jamaa ampe nauli demu kakubali jamaa kawasha mkali ili apashe apate nguvu ya kupasua mashine ndio umauti umewakuta.
Sasa sijui kama alifanikiwa kitikisa nyavu au laa.inauma sana
 
Hata kama hewa ni nyingi usiweke,itakuwa kama kuonja sumu.
Lakini kinachosababisha carbonmonoxide itengenezwe ni kiwango kidogo cha oxygen chumbani na kwakuwa CO ina high affinity to Hb inazuia oxygen kubind na Hb na ndipo shida inaanzia hapo. Ukilala na jiko la mkaa ndani lkn kuwepo hewa ya kutosha ndani CO haiwezi kutengenezwa.
 
watanzania mna matatizo sana ( in mwigulu M voice) yaani mnakimbilia kusema kusema CO ndiyo ili wamaliza na hali hakuna uchunguzi wowote wa kitalaam, mna uhakika gani kama hawajanyongwa, hawajapewa sumu, shoti za umeme, Viagra, vipondo?? ebu waacheni madaktari na wapelelezi wafanye kazi yao ebu achene kudandia treni kwa mbele eboooo!......
 
Ushaambiwa wamelala na jiko la mkaa ndani! Kama ulikimbia pindi la kemia ukakimbilia kwa madem zako Art burudani huwezi elewa nini kimewakuta hawa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…