Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Hivi hakuna wasambazaji wa room heater zinazotumia umeme, au tatizo itakuwa kwenye bili.....mimi nina heater ya kupasha chumba joto niliyotoka nayo majuu lakini baridi la Dar halijanishawishi kutumia heater zaidi ya kulala na blanket......serikali toeni ruzuku kwenye heater ziuzwe maeneo yenye baridi kali na pia wapunguziwe bili za umeme ili waweze kumudu.
Hahaha..... mkuu si unajua akiba haiozi, mana huwezi jua mama akija na mkeka mpya unajikuta uko njombe...Mkuu tufanye biashara basi kama huitumii.
Hahaha..... mkuu si unajua akiba haiozi, mana huwezi jua mama akija na mkeka mpya unajikuta uko njombe...
Ni sahihi kiongozi, ina watt ngapi mkuu...?
Nitacheki ratings zake, ingawa ni zile zinazoitwa economical au energy efficient na ni digital version ambayo unaweza kufanya setting ya temperature, time na inaweza kuzunguka kama feni na inatumia remote........ukikawasha usiku mzima bado katatafuna umeme wa kutosha.