Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo simu ilikuwa ni iPhone 7 kama sijakosea kuiona kwenye video clip. Wa kushitakiwa kama yupo ni kampuni iliyotengeneza hapo, ila ukisoma agreement makampuni ya simu mengi hufunguliwa mashtaka kupitia mahakama za sehemu fulani tu
Huwezi washinda maana gharama zenyewe za kwenda sijui California huna, wala mawakili wa kuaminika huna. Wanakukaba pale kwenye simu kufunguliwa na third party na vile hizi simu ni "used from Dubai" zinakuwa zimechokonolewa. HuwapatiKama iliwahi funguliwa na fundi ambaye sio authorized basi wanachomokea hapo