Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

Jamii bado inaamini upuuzi kuwa utajiri unapata kwa mganga badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa yenye stadi na ubunifu. Hawa waganga wapigwe maarufuku maana wamekuwa wakileta maafa kwa jamii
Kote makanisa na waganga wa kienyeji wapigwe marufuku, hakuna pesa bila kazi kama agizo la Mungu lilivyosema, pesa za kudodoshewa bila kujua zilipotoka hakuna na kama zikitokea bila kujua zimetoka wapi basi hapo nikushirikiana na majini kitu ambacho siyo mpango wa Mungu.
 

Inasikitisha sana kuna watu pia hawaamini hosp pia mtu akiumwa tu amelogwa anapelekwa kwa mganga hatar sana,,,,matokeo yake wakija kustuka tatizo lishakua kubwa
 

 
Dah anyway haijanikatisha tamaa mwaka huu ni mwendo wa ushirikina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…