Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Hata wahubir ss hv Ai pastors wanaanza kuwareplaceLakini pia waliokosa fursa, kwa AI watapata fursa๐ au siyo, mkuu
Naomba niombee nakupa kichwa changu kishike shike na kikemee nakuomba sanaUkiokoka ndio ntafurahi na malaika mbinguni watashangilia.
Lk 15:7-10
Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
Ila kwakuwa wewe una Poor Brain mpaka usome uzi huu kwanza ndio utaelewa maana ya kuokoka
Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka. Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...www.jamiiforums.com
Kweli utafurahi najua ukifurahi lazima na mimi utafanya kitu nifurahi... Je unajua kitu gani hiko ambacho ukifanya mi tafurahi...?Ukiokoka ndio ntafurahi na malaika mbinguni watashangilia.
Lk 15:7-10
Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
Ila kwakuwa wewe una Poor Brain mpaka usome uzi huu kwanza ndio utaelewa maana ya kuokoka
Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka. Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...www.jamiiforums.com
Una uhakika?Mungu ambaye hawezi kudhihirisha lolote
hapa umemaniisha nn mkuu...kobazi na sunday skool (sandoz)Hivi ww una akili kweli? Asa hio akili bandia imetengenezwa na malaika au binadamu?
Heri ya kobazi kuliko Sunday school
Binadamu waliumbwa na nani?Hivi ww una akili kweli? Asa hio akili bandia imetengenezwa na malaika au binadamu?
Heri ya kobazi kuliko Sunday school
Kweli, mkuuAi kwa ss hv watu wengi watakosa fursa
Siri gani? Tufichulie na ssKuna siri niliijua ukiwa unachat na Ai na kilichonikuta โฆ.
Shikilia vizuri Jaws zako zikamate ninayokuambia:Sijawahi kuona mlokole ambaye chaneli zote zinakamata sawasawa!
Chatgpt Detected โ ๏ธShikilia vizuri Jaws zako zikamate ninayokuambia:
Usishangae kama bado hujaona mlokole ambaye chaneli zote zinakamata sawasawa! Kumbuka hata Petro, aliwahi kupata "channel break" alipoyakodolea maji, akaanza kuzama, hadi Yesu alipomrudisha juu! (Luka 22:61-62)
Ukiona walokole chaneli zao hazikamati vizuri, kumbuka:
"Bado hatujafika, bali tunakaza mwendo." (Wafilipi 3:12-14)
Usisahau pia Yesu ndiye remote yetu kuu; akibonyeza โreset,โ hata walio-offline kiroho wanarudi live, full signal. ๐
Kama una chatGPT detector,
Sio sana ni rahis kwangu kutambua kama mtu anaitumia ๐basi wewe ni "mlevi" wa chatGPT๐
nuruniHebu niambie, hiyo detector yako inaweza ku-detect iwapo unatembea nuruni au la?
Hata hapo umeitumia๐ง๐Kama una chatGPT detector, basi wewe ni "mlevi" wa chatGPT๐
Hebu niambie, hiyo detector yako inaweza ku-detect iwapo unatembea nuruni au la?