streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
Nahis ulikuwa nalo siku nyiing sana hili moyonThread zako zisizokuwa na kichwa wala miguu ni za hovyooo ebu badirika au ni utoto labda ukikua utaacha
AhahhahaNahis ulikuwa nalo siku nyiing sana hili moyon
Mkuu naomba link la hilo grp nami nipate elimu ya forexKuna siku ulivamia magroup ya WhatsApp ya Forex ukaleta usumbufu mkubwa kwa kupost maswala yasiyohusika kila mara na ukafika hatua kubadili icon na majina ya group kwa nia ya kuvuruga mijadala.
Acha huo utoto kama kweli wewe uliyefanya hivyo.