Njoo hapa unichane nambie ukweli nakosea wapi

Unatuma nyingi mno kwa siku bhana..! Alafu nyingi ni maloveee punguza andika ata za siasa kidogo..(kidding)..! Ila punguza threads in a day.
Asante sana ndugu yangu nataka nisiandike uz kabisa hata week moja ipite
 
walaaa nmeshangaa tu umepotea ghafla
Mmh nimepotejeaje sasa ghafla bila kupotezwa na muhusika
Ahahahh kila nikichungulia nakutana na kivuli nikasema niheme sasa naona block imenihusu
 
Be real, kama ivyo unavyoandika ndio vinakupa furaha na mizuka ya kuendelea kubaki JF endelea ivyo ivyo, kama unajaribu kuiga tabia isiyo yako inabidi u change hamna namna
Asante sana mkuu
 
Dah nisamehe sana mkuu
 
Mmh nimepotejeaje sasa ghafla bila kupotezwa na muhusika
Ahahahh kila nikichungulia nakutana na kivuli nikasema niheme sasa naona block imenihusu
ha ha ha mie huyo nikupoteze, hakuna blocku hata kidogo embu chek vzur utaona nilipo
 
>>>Jifunze kuandika vizuri..
>>>Kua acha utoto wanaume hatuko ivo..
>>>Mm nikiona thread imeandikwa naww huwa sisomi
 
Nataka kuwa mwema kama wewe bro

Alafu siku hiz hata hunishaur kama zaman
Hilo ni jambo jema kama umeamua mwenyewe kubadilika hongera sana.
Swala la ushaur ulikuwa na mambo meng sana so nilikuacha umalizane nayo then uizoee JF vzur
 
ha ha ha mie huyo nikupoteze, hakuna blocku hata kidogo embu chek vzur utaona nilipo
Ahahahh ndio nimeshangaa unanipotezaje kile kivuli kinaniogopesha sana na hamu ya kuja kukusalimia nikija nikikikuta tu narudi zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…