Njoo hapa unichane nambie ukweli nakosea wapi

Njoo hapa unichane nambie ukweli nakosea wapi

Be real, kama ivyo unavyoandika ndio vinakupa furaha na mizuka ya kuendelea kubaki JF endelea ivyo ivyo, kama unajaribu kuiga tabia isiyo yako inabidi u change hamna namna
 
Post zako nyingi hazina maana.
Mimi kiukweli nikifungua thread nikakuta post ni yako huwa siisomi kabisa nafungua nyingine.
Kuna mwenzio nae akipost nikifungua nikakuta kapost yeye sisomi.
Tatizo mnaandika vitu visivyo na maana halafu kila siku nyie ni wa visa na mikasa.
At least umeanza kujitambua na hongera kwa hilo.
 
Kuna siku ulivamia magroup ya WhatsApp ya Forex ukaleta usumbufu mkubwa kwa kupost maswala yasiyohusika kila mara na ukafika hatua kubadili icon na majina ya group kwa nia ya kuvuruga mijadala.

Acha huo utoto kama kweli wewe uliyefanya hivyo.
Mkuu naomba link la hilo grp nami nipate elimu ya forex
 
post zako za uchawi kila siku naona umezipunguza!ulishaanza kuniboa! lakini najua wewe ni msukuma nikajua utabadirika tu kwani simu bado mpya ukizoea utaacha!!!!!
 
Back
Top Bottom