Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Kumbe wewe ni chibongee.....
Nimeghairi
Mimi nakufahamu....!!!Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.
Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.
Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?
Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
tayar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshaandaa dumu la kuchota mafuta?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!
Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.
Alhamdullilah niko poaPole sana, bila shaka hali imetengamaa sasa hivi
Chit-Chat.
Unaweka chochote kile isipokuwa usivunje sheria za JF
kama we ni chibonge ndo vizuri me ndo nawapendagaaaSawa usijali[emoji28]
Uvaaji wa pepeta ndio upi?Nilijua tu lazima yamfike yote hayo.... maana ule uvaaji wake wa pepeta sio kabisa.