Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Table leader sio....hhh tumefungia sana madishi kwa upuuzi wa kutegeana kuosha.
Mimi nilikuwa Mapinduzi 3, nilikuwa sichelewi madishi kwa kiasi kikubwa ili kuhakikisha msuli mrefu naumudu nikiwa nimeshiba
 
Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
mmmmmh!!! harufu ya uturi mpaka huku naifeel.......mapaja hayo mpaka naona aibu mimi!!
 
Mbna natumia simu for quora most of time
Vitu ambavyo viko kwa mtindo wa website naona uzito sana kwa kutumia simu.

MaApp ndio nayatumia sana kwa simu maana ni rahisi kuliko website.

Website kwa simu nitabakia kuingia google tu
 
Itakuwa kweli...mchepuko ulivunja mawani yangu juzi.

Wakipita uniwaonyeshe basi. Siitwi mkuu tazafali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha

Wale kunguni sio wa nchi yhn sio poa kabisa wanapiga bite za hatr na hawajawai kuisha mpka dakika hii madogo wanatafunwa tuSitasahahu nilivyodrop kwa mchumba nafika gomc kumbe nimewababeba kama wote kwnye beg aisee walikula kibano cha kikali....lilikuwa bonge la aibu yhn!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi watakuwa wanainjoi damu mpya za form five
 
Table leader sio....hhh tumefungia sana madishi kwa upuuzi wa kutegeana kuosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku ya wali tu ndio zilikuwaga active kuosha madishi, ila kwenye ugali ni mwendo wa kuvamia madishi ya watu tu
 
Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.

Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.

Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?

Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
pia ni ustadh swala tano sheik mmoja mzuri tu ambaye ukimuona hautaamini mvaa suruali fupi sometimes nimemaliza.
 
pia ni ustadh swala tano sheik mmoja mzuri tu ambaye ukimuona hautaamini mvaa suruali fupi sometimes nimemaliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ebu ngoja niboost haka kaimani ili haya maneno mazuri yasije yakawa ya uongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena mida ya jioni hata assembly mtu hauendi. Lilikuwa bweni langu.

Nikizungukiaga lazima nifike nikasalimie madogo na kuwaonesha kitanda changu jinsi nilivyokimbizwa na kunguni hadi nikahamia class
Mapinduzi bweni la Tosa?
 
Hulali? mwenzio nimeamka hapa
Nilikuwa naumwa tumbo huo Muda, basi hata kusinzia ilikuwa mtihani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom