Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.

Siimani hiyo avatar ni wewe kweli

Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Nimependa hapo tu palipo tatuliwa sijui na chui au simba mwenye njaa, mkoba na mazagazaga nimewaachia wengine😍
 
Ni kweli kuhusu masikio niliwahi kutaniwa ila sio sana.

Kutaniwa nickname nimekuwa kinara kuanzia udogoni hadi jina la udogoni(huwa tunasema jina la nyumbani/kilugha, maana tunakuwa na jina lingine la shule/kidini) limekomaa hadi leo hii na naendelea kulitumia pindi niwapo kijijini.
Hahahaha
 
Hata mm mzee

Ile kuna kitu nakitafuta pale twita

Subiri si utaona siku ntakayochomoa betri

Ila nyingine hyo ni real na kila kitu kuanzia picha mpaka sehemu nilipo
Ndio hivyo mkuu.

Kwingine ambapo nina akaunti real ni FB na Linkdln, ila FB siendagi wala kupost kitu.

Linkdln ni sehemu ya professionals, people zinatema mayai hatari
 
Ndio hivyo mkuu.

Kwingine ambapo nina akaunti real ni FB na Linkdln, ila FB siendagi wala kupost kitu.

Linkdln ni sehemu ya professionals, people zinatema mayai hatari
Linkdln nipo muda mrefu sana imenisaidia sana pia quora huwa naitumia sana muda wa kurudi kazini ukifika hapo naswitch off jf just concentrating

Quora na real name pia lnkdln .
fb dooh kitambo sana huko ! 😅😅

Nipate sijui shida gani ndo niende fb labda kama nataka nchunguze background ya mtu na tabia zake halisi napitia akaunti zake zote

Picha moja baada ya nyingine na caption zake then najua tabia halisi

Kwa hyo sababu ndo naingia fb na insta otherwise sinaga picha wala post
 
Linkdln nipo muda mrefu sana imenisaidia sana pia quora huwa naitumia sana muda wa kurudi kazini ukifika hapo naswitch off jf just concentrating

Quora na real name pia lnkdln .
fb dooh kitambo sana huko ! [emoji28][emoji28]

Nipate sijui shida gani ndo niende fb labda kama nataka nchunguze background ya mtu na tabia zake halisi napitia akaunti zake zote

Picha moja baada ya nyingine na caption zake then najua tabia halisi

Kwa hyo sababu ndo naingia fb na insta otherwise sinaga picha wala post
Quora nipo kwa ID yangu ya Mwifwa, siingii mara kwa mara, maana inahitaji PC ndio iwe fresh badala ya simu
 
Back
Top Bottom