binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Sawa, kwahiyo makabila yamegongana hapa?
Singidani moja hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, kwahiyo makabila yamegongana hapa?
Sema sitobadili avatarKule unaweza unabadili ID kila muda, huwezi kufahamika
Mbona sikuon au uko kwa bath
Mimi Nina waves Kali sana za Ku link. Sijui kwa nini nilikuwa nahisi Mwifwa na Baba Swalehe ni watu wanaofahamiana.
Huwa nawakubali sana nyie machizi wangu, you are so natural, real and intelligent, smart and cool
Hahaha hii suruali nshawahi iona wazee pub kitimoto Dom[emoji6]
Unaamini katika lipi?
Utanionaje sasa wakat mm kamera man
Bado unavaa haya madude?
Mrozi kalala hapo[emoji23][emoji23][emoji23]hakusahau tunguli zake uvunguni? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa cameraman nimezoom kwenye sofa nikaona poch yako
Natafuta mkeNipo hapa karibuuuView attachment 1182317
Hahahaha huwa amenichanja chale kwenye kifua katikat ya manyonyo nahisi ni rada zake
Hivi wakuu kuna amani hapa???
Natafuta mke
Duuh! Nikiwa mkubwa naandika uzi kama huu na Mimi nipate reply kama hii.Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Sawa sawa....Hahahahah imejaa tele
Hata Mimi nimesoma udaktari, ila Mimi nilisoma na Dr. Ndondi, haha Haa just kidding, yule jamaa alikuwa muongo sanaTeh mkuu sisi ni marafiki tu hata hatufahamiani
Sema tuna common interests
Wote tulisoma PCB
Wote tulisoma udaktari
Wote hatushabikii siasa uchwara za wanasiasa hapa nchini
Wote ni wacheshi
Na pia wote hatu mind mind watu hovyo yaani ukitusi ni shauri yako , dont care 😅
Ni marafiki tu mzee
Hahahahahahaha hajakuwekea ule mtego wa kunasana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naogopa mie! Mambo yote hadharani [emoji6][emoji6][emoji6]