Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Mimi Nina waves Kali sana za Ku link. Sijui kwa nini nilikuwa nahisi Mwifwa na Baba Swalehe ni watu wanaofahamiana.
Huwa nawakubali sana nyie machizi wangu, you are so natural, real and intelligent, smart and cool

Teh mkuu sisi ni marafiki tu hata hatufahamiani

Sema tuna common interests
Wote tulisoma PCB
Wote tulisoma udaktari
Wote hatushabikii siasa uchwara za wanasiasa hapa nchini

Wote ni wacheshi

Na pia wote hatu mind mind watu hovyo yaani ukitusi ni shauri yako , dont care 😅

Ni marafiki tu mzee
 
Hahahaha huwa amenichanja chale kwenye kifua katikat ya manyonyo nahisi ni rada zake
Mrozi kalala hapo[emoji23][emoji23][emoji23]hakusahau tunguli zake uvunguni? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahahaha hajakuwekea ule mtego wa kunasana? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naogopa mie! Mambo yote hadharani 😉😉😉

Hahahaha huwa amenichanja chale kwenye kifua katikat ya manyonyo nahisi ni rada zake
 
Teh mkuu sisi ni marafiki tu hata hatufahamiani
Sema tuna common interests
Wote tulisoma PCB
Wote tulisoma udaktari
Wote hatushabikii siasa uchwara za wanasiasa hapa nchini
Wote ni wacheshi
Na pia wote hatu mind mind watu hovyo yaani ukitusi ni shauri yako , dont care 😅
Ni marafiki tu mzee
Hata Mimi nimesoma udaktari, ila Mimi nilisoma na Dr. Ndondi, haha Haa just kidding, yule jamaa alikuwa muongo sana
 
Mhg huyu mzee ujue ya kale hayaozi simuelewagi labda kaweka hazina zake hapa kunako manyonyo ngoja nijipige nikutumie pm uone balaaa la kalumanzila
Hahahahahahaha hajakuwekea ule mtego wa kunasana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naogopa mie! Mambo yote hadharani [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom