Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Mwifwa Jina lako lina maana gani?
Good thread! Big up Mkuu BAK.
Kwa kuasisi hii thread.

ID yangu inamaanisha MPWA kwa kikabila chetu.
Nimeamua kuwa na hii Id kwa sababu tangu utotoni nimelelewa na my Auncle hadi na kanisapoti kielimu hadi nimefika chuo kikuu.
Auncle akiwa ananitambulisha kwa watu lazima aseme huyu ni Mpwa wangu, kwahiyo nimeamua kuwa na Id ya hivi kama kumkumbuka na kumuenzi kwa fadhila alizonifanyia.

Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.

Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.

Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?

Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).

This is not necessary!
 
Una masikio yamesimama kama kadi za uanachama za sisiemu..
 
Eti Baba Swalehe, ni kweli? au ni bond za BAM tu hizi

NB:Mengine akina nanilii cycle usitaje tutaaibishana[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh ... 😅😅😅
Eeh mzee naona hapo Bujibuji kagonga mihongo,
glucse hapo ikaingia mwilini

Mara paap ikachange kwenda glucose 6 phospate

Then body ika isomerise to fructose 6 phosphate

Ikaona haitoshi ikaongeza phosphate moja ikawa fructose 1,6 phosphate

Ooh mzee fructose aka break akawa DAP N glyceraldehyde 3 phosphate

Mwishoni mwishoni kule ndo Bujibuji akaja akapata ATP akaja akakoment humu

Niendelee mkuu ?
 
Back
Top Bottom