Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.

Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.

Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?

Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
Sura za kanda ya kati hazijifichagi kabisa.
 
Teh ... [emoji28][emoji28][emoji28]
Eeh mzee naona hapo Bujibuji kagonga mihongo,
glucse hapo ikaingia mwilini

Mara paap ikachange kwenda glucose 6 phospate

Then body ika isomerise to fructose 6 phosphate

Ikaona haitoshi ikaongeza phosphate moja ikawa fructose 1,6 phosphate

Ooh mzee fructose aka break akawa DAP N glyceraldehyde 3 phosphate

Mwishoni mwishoni kule ndo Bujibuji akaja akapata ATP akaja akakoment humu

Niendelee mkuu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha

Wale kunguni sio wa nchi yhn sio poa kabisa wanapiga bite za hatr na hawajawai kuisha mpka dakika hii madogo wanatafunwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena mida ya jioni hata assembly mtu hauendi. Lilikuwa bweni langu.

Nikizungukiaga lazima nifike nikasalimie madogo na kuwaonesha kitanda changu jinsi nilivyokimbizwa na kunguni hadi nikahamia class
Sitasahahu nilivyodrop kwa mchumba nafika gomc kumbe nimewababeba kama wote kwnye beg aisee walikula kibano cha kikali....lilikuwa bonge la aibu yhn!!!
 
Aisee ebu nipe tips mkuu za uchunguzi wako
Linkdln nipo muda mrefu sana imenisaidia sana pia quora huwa naitumia sana muda wa kurudi kazini ukifika hapo naswitch off jf just concentrating

Quora na real name pia lnkdln .
fb dooh kitambo sana huko ! [emoji28][emoji28]

Nipate sijui shida gani ndo niende fb labda kama nataka nchunguze background ya mtu na tabia zake halisi napitia akaunti zake zote

Picha moja baada ya nyingine na caption zake then najua tabia halisi

Kwa hyo sababu ndo naingia fb na insta otherwise sinaga picha wala post
 
Nilikua Ujamaa 5 miaka hiyo
UMOJA
UJAMAA
MAENDELEO
MAPINDUZI

Dah Kweli kitambo block moja limebaki nimelisahau lipo kati ya EGM class na MAENDELEO block

Haya majina ukiya-dot kama yanaleta kamaana flani hivi.
 
Back
Top Bottom