Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hata mimi nileo tu ndiyo maana nimekuona😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina muda sana sijazungukia huko mnazi mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nileo tu ndiyo maana nimekuona😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina muda sana sijazungukia huko mnazi mmoja
Sura za kanda ya kati hazijifichagi kabisa.Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.
Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.
Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?
Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
Yaaaas!!😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wewe ulikuwa yule binti mpole anayetii kila kitu akiagizwa na mwalimu
Hawa watu wameenda wapi siwaoni kabisa.
Sakayo
Shunie
@espy
Heaven Sent
Nalendwa
joanah
jje's
Mzigua90
Na wengine wengi
Mama Sabrina
Washaolewa wote kweli!! Ama kweli subiri subiri utakuta mwana si wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh ... [emoji28][emoji28][emoji28]
Eeh mzee naona hapo Bujibuji kagonga mihongo,
glucse hapo ikaingia mwilini
Mara paap ikachange kwenda glucose 6 phospate
Then body ika isomerise to fructose 6 phosphate
Ikaona haitoshi ikaongeza phosphate moja ikawa fructose 1,6 phosphate
Ooh mzee fructose aka break akawa DAP N glyceraldehyde 3 phosphate
Mwishoni mwishoni kule ndo Bujibuji akaja akapata ATP akaja akakoment humu
Niendelee mkuu ?
na ugali wa muhogoNjoo uvile vitamu unalumangia na kachumbari
Mbna natumia simu for quora most of timeQuora nipo kwa ID yangu ya Mwifwa, siingii mara kwa mara, maana inahitaji PC ndio iwe fresh badala ya simu
ww mzee acha zako fahamisha umma au tuchomoe betri ?Isipofahamika basi nairasimisha kuwa Avatar kamili
Karibu sana ukhaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nataka kuchomoa injini mkuu...betri namwachia Bujibuji
Sitasahahu nilivyodrop kwa mchumba nafika gomc kumbe nimewababeba kama wote kwnye beg aisee walikula kibano cha kikali....lilikuwa bonge la aibu yhn!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena mida ya jioni hata assembly mtu hauendi. Lilikuwa bweni langu.
Nikizungukiaga lazima nifike nikasalimie madogo na kuwaonesha kitanda changu jinsi nilivyokimbizwa na kunguni hadi nikahamia class
Nimekumbuka Umoja 5
Mapinduzi wazee wa BETO.....nilikaaa siku moja tu kule nikahama....PUGU SEC?
Linkdln nipo muda mrefu sana imenisaidia sana pia quora huwa naitumia sana muda wa kurudi kazini ukifika hapo naswitch off jf just concentrating
Quora na real name pia lnkdln .
fb dooh kitambo sana huko ! [emoji28][emoji28]
Nipate sijui shida gani ndo niende fb labda kama nataka nchunguze background ya mtu na tabia zake halisi napitia akaunti zake zote
Picha moja baada ya nyingine na caption zake then najua tabia halisi
Kwa hyo sababu ndo naingia fb na insta otherwise sinaga picha wala post
UMOJANilikua Ujamaa 5 miaka hiyo