Anishauri kuhusu maisha, masuala ya financial, business plans. Na tuweze kuwa marafiki wakudumu na watiifu.
😅👍Njoo pm
swalama mkuu nakuona umennona
kitanda kitupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji106]
Siku ile ukanialika kwenye birthday niliogopa kuja maana kwa sura hii ningeambiwa [emoji725], nikaamua kutokuja kuaibika
Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Hapana sitoweza kutega kabisa, sina ujuzi katika medani za kivita.Hahahaha mtego wa fisii huo hahaah
Nipo hapa karibuuuView attachment 1182317
Eti Baba Swalehe, ni kweli? au ni bond za BAM tu hiziMimi Nina waves Kali sana za Ku link. Sijui kwa nini nilikuwa nahisi Mwifwa na Baba Swalehe ni watu wanaofahamiana.
Huwa nawakubali sana nyie machizi wangu, you are so natural, real and intelligent, smart and cool
Ukipata na nega nishtue nieke sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nivute picha kwanza hapa mbibi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga wewe[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!
Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.