Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
Hahaha hii suruali nshawahi iona wazee pub kitimoto DomπMm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Wewe si ndio ulikuwa yule binti mkorofi na mbishi..?[emoji3]
Demiss mic uuu
Hapana sitoweza kutega kabisa, sina ujuzi katika medani za kivita.
Mwifwa Jina lako lina maana gani?
Good thread! Big up Mkuu BAK.
Kwa kuasisi hii thread.
ID yangu inamaanisha MPWA kwa kikabila chetu.
Nimeamua kuwa na hii Id kwa sababu tangu utotoni nimelelewa na my Auncle hadi na kanisapoti kielimu hadi nimefika chuo kikuu.
Auncle akiwa ananitambulisha kwa watu lazima aseme huyu ni Mpwa wangu, kwahiyo nimeamua kuwa na Id ya hivi kama kumkumbuka na kumuenzi kwa fadhila alizonifanyia.
Unaamini katika lipi?Hahahaha siamini katika hilo
Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.
Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.
Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?
Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
Una masikio yamesimama kama kadi za uanachama za sisiemu..Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.
Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.
Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?
Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
Bado unavaa haya madude?Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Teh ... π π πEti Baba Swalehe, ni kweli? au ni bond za BAM tu hizi
NB:Mengine akina nanilii cycle usitaje tutaaibishana[emoji23][emoji23][emoji23]