Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mimi sio roho mtakavituMbona kaniambia mimbani yako babu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio roho mtakavituMbona kaniambia mimbani yako babu?
Mimi sio roho mtakavituMbona kaniambia mimbani yako babu?
Mimba ni yako babu usikatae.Mimi sio roho mtakavitu
Ahahahahaaaaaaaaaaaaaaa....Kapime DNA mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba pengine yalikuzia kipande cha sikio sio!!Poa poa mkuu, siunajua tena mafisi hayakawii kufanya yao[emoji3][emoji3][emoji3]
Watu na miguu yaoMm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Mngh!Ndio maana yake mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu akinona huwa anakuwa mfupi[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!
Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.
Hujambo wewe...Hawa watu wameenda wapi siwaoni kabisa.
Sakayo
Shunie
@espy
Heaven Sent
Nalendwa
joanah
jje's
Mzigua90
Na wengine wengi
Mama Sabrina
Washaolewa wote kweli!! Ama kweli subiri subiri utakuta mwana si wako
Abeeeeh niko apa kuna jipyaaaHawa watu wameenda wapi siwaoni kabisa.
Sakayo
Shunie
@espy
Heaven Sent
Nalendwa
joanah
jje's
Mzigua90
Na wengine wengi
Mama Sabrina
Washaolewa wote kweli!! Ama kweli subiri subiri utakuta mwana si wako
Auntie ebu tia neno kidogoDuuuh!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujambo wewe...
Sijaolewa bado, nimeamua kujiunga na shirika la watawa
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu tumeingia pamoja hawakawii kusema sakayo ndio shunie