Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Hii mada imewafungua watu macho. Tuanze kusikia biashara ya kuuza profile zenye likes na comments nyingi kama ilivyo facebook.
 
Likes zinaendana na replies.

Mimi nikiona dem humu ana replies nyingi kulinganisha na muda aliojiunga JF namuona ni jobless.

Huyo atakua mzigo (liability) hivyo nitashindwa kuunga juhudi za JPM kuleta maendeleo.

Otherwise, JF iwe ndio chanzo chake cha mapato au anakula pension yake baada ya kustaafu.
Japo ni chungu lakini nimeinywa [emoji106]
 
Back
Top Bottom