Naona u mkongwe ila hauna likes zaidi ya elfu 60
I have a lot to learn...hadi mwandiko unalegea...Akianza kulegea mwandiko nao unalegea...
Ulishawahi kufanya hivi wewe?
Fake inakuwa ya kweli....ninajifunzaNdio hizo Fake ID zinakuja kubadilika na kujuana majina ya kweli,mnaliendeleza
Wewe unauzika.... zinakutosha kabisa.
bila shakaYeah... ila pia huenda haya maandishi tu.
sijasema hana lakini ila nasema huenda haya maandishi ila naamini anazo.
Sio kwamba alikutana na asiejulikana ikambidi akimbie kivuli chakeKiongozi una uzoefu wa kutosha saana nafikiri ndiyo maana hadi ukasahau nywila na jina lako.
Fake inakuwa ya kweli....ninajifunza
Hapana mkuu...nimesikia sifa za wasiojulikana sitaki kuwajaribuUsiogope Fake ID zifuate tu Pm
Kiongozi una uzoefu wa kutosha saana nafikiri ndiyo maana hadi ukasahau nywila na jina lako.
Japo ni chungu lakini nimeinywa [emoji106]Likes zinaendana na replies.
Mimi nikiona dem humu ana replies nyingi kulinganisha na muda aliojiunga JF namuona ni jobless.
Huyo atakua mzigo (liability) hivyo nitashindwa kuunga juhudi za JPM kuleta maendeleo.
Otherwise, JF iwe ndio chanzo chake cha mapato au anakula pension yake baada ya kustaafu.