Njoo ni kutabilie mambo 5

Njoo ni kutabilie mambo 5

Nitabilie nimegusa tayari...

Sent using Jamii Forums mobile app
1.kuwa makini na matendo yako ya leo yanaweza yakakusababishia matatizo...ni bora ukakaa tu nyumbani
2.ipo bahati mbele yako itakayosababishwa na ndugu yako...itakinufaisha hiyo
3.kuhusu ile mali uliyopoteza...utaipata
4.kama hujaoa/kiolewa muda si mrefu utampata mpenzi atakae kufariji
5. Ile safari haitokuwa njema kabisa kuwa nayo makini
 
Utafanikiwa lile unalolitaka
2. Utakutana na mpenzi wa moyo wako lakini si huyu ulie naye sasa
3.wapo maadui kazi kwako wanakukosesha sana furaha...muombe mungu toa sana sadaka wataondoka
4. Ahadi uliyoahidiwa na yule ndugu itatimia
5. Ila kuwa makini na yule mvulana usimuamini ata kidogo
 
1...kuwa makini na adui yule mwanamke...
2...uhususiano uliopo sasa si mzuri
3.utapata mpenzi mwenye uwezo mkubwa ki mali
4....itakuwa safari nzuri sana ile ya nje ya nchi
5...ile mali uliyopoteza hitoipata
6...ata zile ndoto za kupata mtoto zitatimia tena ni mtoto wa kike anakuja
7....kwa bwana/mke yule ndoa hakuna hutomuoa/hatokuoa
8...bahati yako ipo nje ya nchi.
 
1...autoondoka hapo ulipo kutokana na kelele au kukosa maelewano
2...kuwa makini unaweza sababishiwa matatizo na ndugu
3...kuwa makini na mazungumzo muda mwingine ni bora kukaa kimya lasivyo kuna majibu utapokea yataharibu siku yako.
4...unachokihitaji utakipata ila hakitakuja kwa wakati unaotaka wewe
.
5...kwa kuoana na huyo ulie naye unatengeneza furaha ya kudumu pengine unaweza kubahatika mtoto wa kiume
 
Ndo maana babu wa loliindo hakupata tabulator

blame no body
 
Nitabilie
1.kile ulichokitafuta kwa muda mrefu utakipata muda mfupi ujao...
2. Upendo wao kwako wale ni wa kujifanyisha kuwa makini nao.
3....tarajia mtoto wa kike...
4...uponywaji kwa yule mgonjwa zimebaki kudra za Mungu tu na si vinginevyo
5...kwa mbali naiona safari ni nzuri sana
 
aea190470e20a6680caa818f813a3c69.jpg


Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitabirie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom