makinikia 101
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 491
- 876
Pambana na hali yako mkuu, me nimegusa na nimetabiri noah yangu iko njiani. Ndorobo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipe tu hamna namnaKweli hawa vilaza wa CCM watalipa
Hayo yalishatushinda mkuu hata kupeana matumaini kwa utabiri tushindwe mkuuVijana wa kim wako bize kutest mahydrogen bomb vijana watanzania wako bize na ramli. Kweli dunia Hamna usawa.
Ni kweli hakuna usawa hata kidogo.Vijana wa kim wako bize kutest mahydrogen bomb vijana watanzania wako bize na ramli. Kweli dunia Hamna usawa.
1.kuwa makini na matendo yako ya leo yanaweza yakakusababishia matatizo...ni bora ukakaa tu nyumbani
Utafanikiwa lile unalolitaka
1...kuwa makini na adui yule mwanamke...
1...autoondoka hapo ulipo kutokana na kelele au kukosa maelewano
Bado nalima...ila msimu bado...Ahhh ahhhhh bwana mtabili UMEACHA KULIMA WA NYANYA?
1.kile ulichokitafuta kwa muda mrefu utakipata muda mfupi ujao...Nitabilie
Nitabirie![]()
Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia
Sent using Jamii Forums mobile app