Njoo PM niku Assist

Njoo PM niku Assist

Naona mods wamefuta nyuzi zote zinazomtuhumu tapeli Raimundo,vizuri.

Sasa endapo uzi wowote wa kumsafisha huyo bwana ukianzishwa na kuachwa hewani JF wajiandae kujibu hoja nzito,na haitokuwa tena kuhusu Raimundo bali JF yenyewe.
Word...

Naona mods wanajitahidi kwa kila namna kumsafisha huyu mtu!

Kama ikibidi, hata mods nao tutakula nao sahani moja...

Kama noma iwe noma tu
 
Bibie mm mwenyewe ni Muhanga wa Raimundonization..Yaan hua anakufuata Pm anakuomba umkope 30-45 akisema atarudisha lakini harudishi tena na ukimtafuta hakujibu..Hua anaomba watu wengi kwa wakat mmoja.Mfano trh 25 june katufuata pm mm the bold na Emmyta kwa wakat mmoja ila malaika wa kheri alikua upande wetu..
Sasa wapo kibao wameshalizwa nae toka 2015 .
RRONDO ndio kamuumbua baada ya kutolipwa pesa zake.

ASSIST HAIJAMUACHA MTU SALAMA.
WHY ASSIST?
ASSIST NI NENO HUA ANALITUMIA PM.
Eg.Naomba uni ASSIST 20K nitarudisha baada ya wiki..
du!
 
Word...

Naona mods wanajitahidi kwa kila namna kumsafisha huyu mtu!

Kama ikibidi, hata mods nao tutakula nao sahani moja...

Kama noma iwe noma tu
Hakuna namna!
Lazima tujue kama kuna matapeli touchable na untouchable.

Mbona Kevin Isaya nyuzi zake hawafuti?
Tusubiri tuone,lazima pawake.
 
Assist haijawahi kumwacha mtu salama wallah
 
Hakuna namna!
Lazima tujue kama kuna matapeli touchable na untouchable.

Mbona Kevin Isaya nyuzi zake hawafuti?
Tusubiri tuone,lazima pawake.
Kwa hyo unataka kusema katika ASISST kuna sub-ASSIST inabaki kwa mods au
 
Hehehee kutapeliwa JF mtu anataka mwenyewe.

Siwezi kutapeliwa na mtu nisiyemjua... tena nisiyejua aliko...

Nakumbuka mwaka 2008 kuna jamaa mmoja hivi alikuwa maarufu sana humu na tulikuwa tumezoeana kiasi [kiJF].

Siku moja akaomba nimkopeshe dola 1,200 ili aweze kulipa ada yake ya shule huko USA.

Ilibidi nicheke kwanza kwa kuwa hata na huo uthubutu wa kuomba nimkopeshe hizo hela.

Nadhani alijutia sana hicho kitendo na muda si mrefu akaacha kabisa kuchangia.

Ila nahisi bado yupo humu lakini kwa jina jingine na mara nyingi huwa anajitokeza kwenye nyuzi akiona kuna watu wananiponda. Huwa anaunga tela na kuanza kuniponda sana. Bado ana hasira na mimi😀.
 
Ungemu assist tu mkuu[emoji23]
 
Hell to tha muthaeffin' no!

Simjui hanijui nimkopeshe dola 1,200 hivi hivi?

Maybe when I lose my common sense.
Hahaha tatizo watu wakijua uko abrodi wanajua zimejaaa, hawaelewi kuwa majuu laifu liko juu sana
 
Back
Top Bottom