Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Bae nini kinaendelea hapa???..Kabisa!! Naunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bae nini kinaendelea hapa???..Kabisa!! Naunga mkono hoja
Bebe jamaa kafanyaje..Naona kuna shutuma nzito
Nope..Nimempm...Namsikilizia..Mbona ukanikimbia sasa?MBOna hupokei simu bebe au ameshakupa habari?
hahahaha wamezifunga nafikiri wameona jamaa kaingia mitini walitegemea ajitokeze kujibu..Naona mods wamefuta nyuzi zote zinazomtuhumu tapeli Raimundo,vizuri.
Sasa endapo uzi wowote wa kumsafisha huyo bwana ukianzishwa na kuachwa hewani JF wajiandae kujibu hoja nzito,na haitokuwa tena kuhusu Raimundo bali JF yenyewe.
Ila akirudi na utetezi wake itabidi Mods wazirudishe zile nyuzi.hahahaha wamezifunga nafikiri wameona jamaa kaingia mitini walitegemea ajitokeze kujibu..
Nilijua lazima wazifunge
Nope..Nimempm...Namsikilizia..Mbona ukanikimbia sasa?
Ila akirudi na utetezi wake itabidi Mods wazirudishe zile nyuzi.
Haiwezekani iwe kesi ya kusikiliza upande wa utetezi pekee.
Atupitie wapi shogangu na sisi maadui zake?Akirudi wapi shoga??
Mbona yupo anatoa like tu au kwenu hawajapitia?
Atupitie wapi shogangu na sisi maadui zake?
Hujajua mpango wao? Wamepanga waache huu upepo upite aje na utetezi kama Kevin Isaya.
Utaniambia mimi.
Sitanii ktk hiliDogo yupo fesibuku anachat..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Atakayetapeliwa sasa sijui tutamuweka kundi gani!mmmh lakini hata aje na style gani assist ndio basi tena
Sorry ndo nini!!angalia maneno yako uzungumzapoSorry.