Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
LEO AKIZINGUA NAMFWATA MPAKA KWA MKEWE HUYU BABA WA KIMASAI SHUBAAAAAAAAAAMITBujibuji watu tunataka assistance fanya fasta
Word...Naona mods wamefuta nyuzi zote zinazomtuhumu tapeli Raimundo,vizuri.
Sasa endapo uzi wowote wa kumsafisha huyo bwana ukianzishwa na kuachwa hewani JF wajiandae kujibu hoja nzito,na haitokuwa tena kuhusu Raimundo bali JF yenyewe.
MR AND MRS ...............Word...
Naona mods wanajitahidi kwa kila namna kumsafisha huyu mtu!
Kama ikibidi, hata mods nao tutakula nao sahani moja...
Kama noma iwe noma tu
Nieleweshe wewe Mondray bwana! naomba. Nimeona leo anaongelewa sana hata kwenye thread ambazo sio za utapeli naona mtu anachomeka tu. hebu ni brief kiduchu, kafanyaje?
Hivi dona nyama wamehamia wapi? Jioni ntakupitia tukale kuku konyagi kwa peace, Au unasemaje mzazi wa mmakonde?MBONA SIION KWENDAA NIPO SERIOUS UJUE AMA NJOO TWENDE WOTE
du!Bibie mm mwenyewe ni Muhanga wa Raimundonization..Yaan hua anakufuata Pm anakuomba umkope 30-45 akisema atarudisha lakini harudishi tena na ukimtafuta hakujibu..Hua anaomba watu wengi kwa wakat mmoja.Mfano trh 25 june katufuata pm mm the bold na Emmyta kwa wakat mmoja ila malaika wa kheri alikua upande wetu..
Sasa wapo kibao wameshalizwa nae toka 2015 .
RRONDO ndio kamuumbua baada ya kutolipwa pesa zake.
ASSIST HAIJAMUACHA MTU SALAMA.
WHY ASSIST?
ASSIST NI NENO HUA ANALITUMIA PM.
Eg.Naomba uni ASSIST 20K nitarudisha baada ya wiki..
Hakuna namna!Word...
Naona mods wanajitahidi kwa kila namna kumsafisha huyu mtu!
Kama ikibidi, hata mods nao tutakula nao sahani moja...
Kama noma iwe noma tu
Assist haijawahi kumwacha mtu salama wallah
Sijawahi komredi. Mpaka nitapeliwe huyo tapeli atakuwa kafuzu chuo kikuu cha utapeliKomredi ushawahi kutapeliwa humu?
Sijawahi komredi. Mpaka nitapeliwe huyo tapeli atakuwa kafuzu chuo kikuu cha utapeli
Hehehee kutapeliwa JF mtu anataka mwenyewe.Hakika!
Siku nikija kutapeliwa humu JF ntajiua kabisaπ.
Kabla hujajiua utume ujumbe jfHakika!
Siku nikija kutapeliwa humu JF ntajiua kabisaπ.
Kwa hyo unataka kusema katika ASISST kuna sub-ASSIST inabaki kwa mods auHakuna namna!
Lazima tujue kama kuna matapeli touchable na untouchable.
Mbona Kevin Isaya nyuzi zake hawafuti?
Tusubiri tuone,lazima pawake.
Hehehee kutapeliwa JF mtu anataka mwenyewe.
Siwezi kutapeliwa na mtu nisiyemjua... tena nisiyejua aliko...
Huenda ikawa hivyo mkuu,wanamlinda sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hyo unataka kusema katika ASISST kuna sub-ASSIST inabaki kwa mods au
Ungemu assist tu mkuu[emoji23]Nakumbuka mwaka 2008 kuna jamaa mmoja hivi alikuwa maarufu sana humu na tulikuwa tumezoeana kiasi [kiJF].
Siku moja akaomba nimkopeshe dola 1,200 ili aweze kulipa ada yake ya shule huko USA.
Ilibidi nicheke kwanza kwa kuwa hata na huo uthubutu wa kuomba nimkopeshe hizo hela.
Nadhani alijutia sana hicho kitendo na muda si mrefu akaacha kabisa kuchangia.
Ila nahisi bado yupo humu lakini kwa jina jingine na mara nyingi huwa anajitokeza kwenye nyuzi akiona kuna watu wananiponda. Huwa anaunga tela na kuanza kuniponda sana. Bado ana hasira na mimiπ.
Ungemu assist tu mkuu[emoji23]
Hahaha tatizo watu wakijua uko abrodi wanajua zimejaaa, hawaelewi kuwa majuu laifu liko juu sanaHell to tha muthaeffin' no!
Simjui hanijui nimkopeshe dola 1,200 hivi hivi?
Maybe when I lose my common sense.